
21 Oktoba 2024 - 11:45
News ID: 1496778

Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul-Bayt - ABNA - Wanawake wa Marekani walikuja mitaani huku wakiwa wamevalia sanda zilizolowa damu na kusema: "Tuko hapa ili kuwapa changamoto watetezi wa Haki za Wanawake wa Magharibi, wanaodai kuunga mkono maadili ya ufeministi (Uwanaharakati wa ukombozi wa Mwanamke wa Magharibi), lakini kiutendaji hawafanyi lolote kwa Wanawake na Watoto wa Kipalestina wanaouawa!"
